Bangalore ni jina la mji mkuu wa jimbo la Karnataka katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao milioni 6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 920 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya Mji wa Bangalore



Jiji la Bangalore
Jiji la Bangalore is located in Uhindi
Jiji la Bangalore
Jiji la Bangalore

Mahali pa mji wa Bangalore katika Uhindi

Majiranukta: 12°58′0″N 77°34′0″E / 12.96667°N 77.56667°E / 12.96667; 77.56667
Nchi Uhindi
Jimbo Karnataka
Wilaya Bangalore Mjini (Bangalore Urban)
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 5,840,155
Tovuti:  www.bbmp.gov.in

Viungo vya nje hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bangalore kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.