Barbra Streisand (amezaliwa na jina la Barbara Joan Streisand mnamo tar. 24 Aprili 1942) ni mwimbaji na mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Pia amepata kufahamika zaidikama mtunzi, mwanaharakati huria wa kisiasa, mtayarishaji wa filamu, na mwongozaji. Ameshinda tuzo mbili za Academy, tisa za Grammy, nne za Emmy, Special Tony Award, na ni mmoja kati ya waburudishaji wachache waliowahi kupata tuzo zote hizi, ingawa bado hajapata kushinda tuzo za ushindani za Tony.

Barbra Streisand
at the Governor's Ball for the 1995 Emmy Awards.
at the Governor's Ball for the 1995 Emmy Awards.
Maelezo ya awali
Amezaliwa 24 Aprili 1942 (1942-04-24) (umri 81)
Brooklyn, New York, U.S.
Aina ya muziki Traditional Pop, Adult Contemporary, Broadway
Kazi yake Mwimbaji, mwigizaji, mtayarishaji, mwongozaji
Miaka ya kazi 1957–hadi leo
Studio Columbia
Tovuti BarbraStreisand.com

Marejeo hariri

Soma zaidi hariri

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons



  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Barbra Streisand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.