Barra do Dande

Mji katika wilaya ya Dande, Jimbo la Bengo nchini Angola

Barra do Dande ni mji wenye idadi ya watu wapatao 75,000 mnamo mwaka 2014,[1] mji huu upo katika wilaya ya Dande, jimbo la Bengo,nchini Angola.

Barabara ipitayo Barra do Dande

Unapatikana katika mdomo wa mto Dande.[2]

Serikali imepanga kujenga Bandari yenye kina kirefu ndani ya mji wa Barra do Dande.[3] Bandari hii itakua takriban kilomita 30 kaskazini mwa mji mkuu wa Luanda.

Marejeo hariri

  1. Citypopulation.de Population of cities & urban localities in Angola
  2. "City councils of Angola". Statoids. Iliwekwa mnamo April 6, 2009.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Railway stations in Angola
  Makala hii kuhusu maeneo ya Angola bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Barra do Dande kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.