Basilicata ni mkoa wa Italia. Uko upande wa kusini wa rasi ya Italia, na ni mkoa pekee wenye pwani upande wa mashariki na magharibi.

Bendera ya Basilicata.
Bendera ya Basilicata.
Mahali pa Basilicata katika Italia

Mji mkuu wake ni Potenza.

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri


 
Mikoa ya Italia
 
Mikoa ya kawaida
Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto |
Mikoa yenye katiba ya pekee
Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Basilicata kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.