Basilisko wa Gumenek

Basilisko wa Gumenek (alifariki Gumenek, Ponto, Uturuki wa leo, karne ya 4) alikuwa askofu aliyeuawa kwa ajili ya imani yake wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Mei[2][3][4]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/Detailed/54320.html
  2. Martyrologium Romanum
  3. "May 22". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-12. Iliwekwa mnamo 2020-05-15. 
  4. Ὁ Ἅγιος Βασιλίσκος ὁ Μάρτυρας. 22 Μαΐου. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.