Baskin-Robbins ni kampuni ya kimataifa ya ice cream iliyoanzishwa na Burt Baskin na Irv Robbins mwaka 1953 huko Glendale, California, Marekani.

Kampuni ya Baskin-Robbins

Makao makuu yako katika Jimbo la Massachusetts. Baskin Robbins inasambaza ice cream katika nchi zaidi ya 30 duniani kote.

Viungo vya nje hariri