Beşiktaş ni mji na wilaya iliyopo katika Mkoa wa Istanbul kwenye kanda ya Marmara nchini Uturuki.

Ikulu ya Dolmabahçe katika wilaya ya Beşiktaş.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Beşiktaş kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.