Beatrice Gärds

Mchezaji wa mpira wa Mguu

Beatrice Gärds (alizaliwa tarehe 10 Februari 1997) ni mchezaji wa soka wa Uswidi anayecheza kama kiungo wa klabu ya Damallsvenskan, KIF Örebro DFF.

Beatrice Gärds
Amezaliwa10 Februari 1997
Kazi yakeMchezaji mpira wa Miguu

Marejeo hariri

Viungo vyanje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Beatrice Gärds kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.