Beatrice Matumbo Shellukindo

Beatrice Matumbo Shellukindo ni mbunge wa jimbo la Kilindi katika bunge la taifa nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Beatrice Matumbo Shellukindo". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.