Begi (kutoka neno la Kiingereza) ni mfuko unaotengenezwa kwa kutumia vitu mbalimbali (k.mf. kitambaa, ngozi, plastiki) na ambao una uwazi upande wa juu.

Begi lililotengenezwa kwa kutumia ngozi

Lengo la kifaa hicho ni kubebea vitu.

Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Begi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.