Belukha ni mlima wenye kimo cha m 4,506 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Belukha

Uko Urusi katika Milima ya Altai; ndio mrefu kuliko hiyo yote.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Belukha kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.