Bendera ya Somaliland

Bendera ya Somaliland ina milia mitatu ya kulala ya rangi kijani, nyeupe na nyekundu.


Flag of Jamhuri ya Somaliland
}}
Use National Bendera National flag
Proportion 1:2
Adopted 14 Oktoba 1996
Design Kijani, nyeupe na nyekundu, na maneno ya Shahada ya Kiislamu yameandikwa ndani ya sehemu ya kijani kwa maandishi nyeupe. Nyota nyesui yenye ncha 5 iko ndani ya eneo nyeupe.

Ndani ya mlia nyeupe kuna nyota nyeusi.

Kuna maandishi ya Kiarabu ndani ya sehemu ya kijani yanayosema "la ilaha ill-Allah, Muhammadan Rasulullah ( لا إله إلاَّ الله محمد رسول الله, Hakuna Mungu isipokuwa Allah na Muhammad ni mtume wa Allah).

Hii bendera ni bendera rasmi ya nchi ya Somaliland isiyotambuliwa kimataifa; iko katika kaskazini ya Somalia.