Benildo Romancon (Thuret, Puy-de-Dôme, Ufaransa, 14 Juni 1805 - Saugues, Haute-Loire, Ufaransa, 13 Agosti 1862) alikuwa bradha wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo maisha yake yote[1].

Picha yake.

Papa Pius XII alimtangaza mwenye heri tarehe 4 Aprili 1948, halafu Papa Paulo VI akamtangaza mtakatifu tarehe 29 Oktoba 1967[2][3].

Sikukuu inaadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/34000
  2. ""St. Benilde", La Salle University". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-02. Iliwekwa mnamo 2021-08-09. 
  3. Solenne canonizzazione del beato Benildo vatican.va, 29 October 1967, article in Italian
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.