Benito wa Yesu
Benito wa Yesu (Buenos Aires, Argentina, 31 Oktoba 1910 - Turon, Hispania, 9 Oktoba 1934) alikuwa bradha wa Kanisa Katoliki na mlezi wa vijana katika shirika la Mabradha wa Shule za Kikristo.
Aliuawa kwa imani yake pamoja na wenzake 7 (Sirili Bertran, Marchano Yosefu, Viktoriano Pio, Benjamini Juliani, Juliani Alfredo, Augusto Andrea na Aniseto Adolfo[1][2]) na padri Mpasionisti Inosenti wa Imakulata wakati wa Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Hispania.
Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Aprili 1990, halafu mtakatifu tarehe 21 Novemba 1999, wa kwanza kutoka Argentina.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |