Betrandi wa Garrigues

Betrandi wa Garrigues, O.P. (pia: Bertrand, Bertran; Garrigues, karne ya 12 - Bouchet[1] 15 Agosti 1230) alikuwa padri wa Ufaransa ambaye ni kati ya wafuasi wa kwanza na bora zaidi wa Dominiko wa Guzman katika shirika lake jipya [2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu. Papa Leo XIII alithibitisha heshima hiyo tarehe 12 Julai 1881.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Septemba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Sadoc M. Bertucci, BSS, vol. III (1963), col. 134.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/90800
  3. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107

Marejeo hariri

  • (Kifaransa) Édouard Drouot, Le bienheureux Bertrand de Garrigues, Compagnon gardois de saint Dominique, Éditions Lacour-Ollé, 1990
  • (Kiitalia) Congregatio de Causis Sanctorum, Index ac status causarum, Città del Vaticano, 1999.
  • (Kiitalia) Filippo Caraffa e Giuseppe Morelli (curr.), Bibliotheca Sanctorum (BSS), 12 voll., Roma, Istituto Giovanni XXIII nella Pontificia Università Lateranense, 1961-1969.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.