Biodun Obende

Mwanasoka wa Nigeria

Biodun Obende (alizaliwa 14 Juni 1987) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani nchini Nigeria.[1]

Biodun Obende
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaNigeria Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa14 Juni 1987 Hariri
Mahali alipozaliwaAjegunle Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuForward (association football) Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri

Maisha ya Awali hariri

Obende alizaliwa huko Ajegunle mwaka 1987 katika nyumba yenye ndugu tisa. Alikuwa na kaka saba na dada mmoja.[2]


Marejeo hariri

  1. Biodun Obende, Soccerway, Retrieved 2 February 2016
  2. Hard tackles from-boys-made-me-a-better-player-Obende, TheNigerianVoice.com, Retrieved 2 February 2016
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Biodun Obende kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.