Blxckie

Rapper wa Afrika Kusini


Sihle Sithole, anajulikana zaidi kama Blxckie, ni rapa wa nchini Afrika Kusini. [1] Mnamo mwaka 2021, alipewa jina la Apple Music 's Up Next . [2] [3] [4]

Sihle Sithole
Amezaliwa
Durban (afrika kusini)
Nchi Durban
Kazi yake Rapa

Wasifu hariri

Blxckie anatokea Durban, Afrika Kusini ambako alizaliwa na kukulia, mara nyingi alitembelea Johannesburg . Mnamo mwaka 2020, alijikuta "amekwama" huko Johannesburg wakati nchi hiyo ilipofungwa kwa siku 21, lakini baadaye akasema ilikuwa "baraka". [5]

Marejeo hariri

  1. "The Rise of Blxckie". BREAKROOM AFRICA (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-01-02. Iliwekwa mnamo 2022-01-02. 
  2. "BLXCKIE ANNOUNCED AS APPLE MUSIC UP NEXT ARTIST IN SOUTH AFRICA". TRACE (kwa Kiingereza). 2021-03-23. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 April 2021. Iliwekwa mnamo 2022-01-02.  Check date values in: |archivedate= (help)
  3. Shumba, Ano (2021-03-19). "SA: Blxckie featured on Apple Music Up Next". Music In Africa (kwa Kiingereza). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 27 July 2021. Iliwekwa mnamo 2022-01-02.  Check date values in: |archivedate= (help)
  4. "Blxckie Named Apple Music’s ‘Up Next’ Artist". okayafricasite (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-01-02. 
  5. "Meet Blxckie: South African hip-hop’s new kid on the block [watch]". thesouthafrican.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-01-11. 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Blxckie kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.