Boksi (kutoka Kiingereza "box"; kwa Kiswahili linaitwa pia "sanduku") ni kifaa ambacho mara nyingi kimeundwa na karatasi gumu.

mfano wa boksi linalo hifadhi risasi

Maboksi yapo ya maumbo mbalimbali kama mraba, pembetatu, mstatili n.k.

Boksi pia hutumika kuhifadhi vitu mbalimbali kama simu, runinga n.k.