Bolgatanga ni mji wa Jamhuri ya Ghana. Ndiyo makao makuu ni mkoa wa Mashariki ya Juu.

Baiskeli ya magurudumu matatu ya kampuni ya Kichina ya LIFAN (Lifan Royal RY200ZH) kwenye soko huko Bolgatanga (Mkoa wa Juu Mashariki, Ghana).
Baiskeli ya magurudumu matatu ya kampuni ya Kichina ya LIFAN (Lifan Royal RY200ZH) kwenye soko huko Bolgatanga (Mkoa wa Juu Mashariki, Ghana).

Katika sensa ya mwaka 2013 kulikuwa na wakazi 68,183[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "World Gazetteer online". World-gazetteer.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2012-01-11.  Unknown parameter |url-status= ignored (help)
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bolgatanga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.