Borås ni mji nchini Uswidi. Mji ulianzishwa 1622. Kuna wakazi 63,441 (mwaka 2005).

Kituo cha gari

Jiografia hariri

Eneo lake ni 24.99 km².

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uswidi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Borås kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.