Botlogile Tshireletso

Botlogile Tshireletso ni mwanasiasa, mama, na mbunge wa Botswana ambaye amekuwa Waziri Msaidizi wa Serikali ya Mitaa na Maendeleo ya Vijijini katika Baraza la Mawaziri la Botswana, tangu mwaka 2004.[1][2] Amewahi kuwa mbunge aliyechaguliwa, akiongoza jimbo la Mahalapye, katika Bunge la Botswana. Kabla ya kuwa mbunge, Mmantshire, kama anavyojulikana kwa upendo katika Mahalapye, kijiji chake cha nyumbani, alihudumu kama mjumbe wa baraza katika jimbo la Xhosa 1. Alikuwa mjumbe wa baraza kwa miaka 25 na mbunge kwa miaka 15.

Maisha na Elimu hariri

Tshireletso ana Cheti katika Elimu ya Kisiasa kutoka Chuo Kikuu cha Tashkent, nchini Urusi (Uzbekistan).

Marejeoo hariri

  1. {{cite web|access-date=6 April 2018 | url=https://allafrica.com/stories/201804050942.html | title=Botswana: New Botswana Cabinet Appointments
  2. {{Cite web|last=DUBE|first=CHAKALISA|title=Mmegi Online :: Tshireletso hangs political stilettos|url=http://www.mmegi.bw/index.php?aid=82234&dir=2019/august/16}
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Botlogile Tshireletso kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.