Boyz n the Hood ni filamu ya hood ya mwaka wa 1991, ambayo imetungwa na kuongozwa na John Singleton. Kwenye filamu anacheza nyota Ice Cube, Cuba Gooding, Jr., Morris Chestnut, Nia Long, Angela Bassett, Regina King, na Laurence Fishburne. Filamu inaenelezea maisha ya kimaskini ya South Central (sasa hivi South) Los Angeles, California, na ilitengenezwa na kutolewa wakati wa majira ya joto ya mwaka wa 1991. Ilipata kushindanishwa kote kwenye "Mwongozaji Bora" na "Mchezo Bora" wakati wa ugawaji wa Tuzo za Academy mnamo mwaka wa 1991, na kumfanya Singleton mtu mdogo sana ambaye amepata kushindanishwa akiwa kama Mwongozaji na Mwafrika-Mwamerika wa kwanza kuchaguliwa kuwa kama Mwongozaji bora kwenye tuzo hizo.

Boyz n the Hood
Imeongozwa na John Singleton
Imetayarishwa na Stephen Nicolaides
Imetungwa na John Singleton
Nyota Cuba Gooding, Jr.
Ice Cube
Laurence Fishburne
Morris Chestnut
Muziki na Stanley Clarke
Imehaririwa na Bruce Cannon
Imesambazwa na Columbia Pictures
Imetolewa tar. 12 Julai 1991
Ina muda wa dk. 127
Nchi Marekani
Bajeti ya filamu $6,500,000[1]
Mapato yote ya filamu $57,504,069[2]

Filamu ilipigiwa katika sehemu ya Un Certain Regard wakati wa Tamasha la Filamu la Cannes la 1991.[3]

Washiriki hariri

Marejeo hariri

  1. "Boyz n the Hood (1991)". Box Office Mojo. 
  2. "Boyz n the Hood (1990)". Box Office Mojo. 
  3. "Festival de Cannes: Boyz n the Hood". festival-cannes.com. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-08-22. Iliwekwa mnamo 2009-08-09. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boyz n the Hood kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.