Brad Dourif
Bradford Claude "Brad" Dourif (18 Machi 1950) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anajulikana hasa kwa kuigiza kama Grima Wormtongue katika filamu ya Bwana wa Mapete.
Brad Dourif | |
---|---|
Brad Dourif, mnamo 2002 | |
Amezaliwa | Bradford Claude Dourif 18 Machi 1950 Huntington, West Virginia, Marekani |
Kazi yake | Mwigizaji |
Miaka ya kazi | 1973-hadi leo |
Ndoa | Janet Stephanie (1974-1980) Jonina Dourif (1981-1986) |
Watoto | 2 |
Marejeo hariri
Viungo vya Nje hariri
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Brad Dourif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |