Bundi ni oda ya ndege walanyama (mbuai) wanaowinda mara nyingi saa za usiku hasa wakati wa giza.

Kungwi

Ndani yake kuna familia mbili:

Baadhi ya jamii chache zimekuwa zikihusisha bundi na ushirikina [1] ama uchawi, hivyo kutia wengi mashaka, hasa wanaposikia sauti ya ndege huyo. Pia bundi wamebeba 14 invertebrate ambayo ni misuli ya shingo inayosaidia kuzungusha kichwa chake 270' mamake anauwezo wa kuangalia vitu vilivyopo nyuma yake bila kugeuza mwili Pya ni ndege wasiosikia kwani wamebeba upright feathers zinazomwezesha kusikia vitu mbalimbali

Tanbihi hariri

  1. NZG | e-News: Debunking the myths around owls. www.nzg.ac.za. Jalada kutoka ya awali juu ya 2020-01-26. Iliwekwa mnamo 2020-02-01.
  Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Bundi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.