Caja de Muertos ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Puerto Rico. Ni mali ya Marekani.

Kisiwa cha Caja de Muertos

Kina eneo la kilometa mraba 1,54 na hakina wakazi.

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Caja de Muertos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.