Captain Planet ni mfululizo wa katuni vya mwaka 1990. Ziliundwa na Ted Turner. Sababu zilizompelekea kuunda mfululizo huo wa vikatuni vya CP, ilikuwa ni kuburudisha na kutaka kuwa weka watu kuwa makini na hatari dhidi ya mazingira yao. Sauti ya CP iliigizwa na David Coburn, lakini awali aliyeniuwa kuigiza sauti hiyo alikuwa Tom Cruise.

Captain Planet.

Sifa za Captain Planet hariri

  1. Moto
  2. Maji
  3. Dongo
  4. Upepo
  5. Moyo

Viungo vya nje hariri