Carl Larsson (28 Mei 1853 - 22 Januari 1919) alikuwa mchoraji, interior designer na mwanachama wa Nyendo ya Sanaa na Crafts kutoka Uswidi. Yeye alizaliwa katika Stockholm na familia yake ilikuwa maskini sana. Yeye alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Stockholm.

Brita och jag, Brita na mimi. Larsson alivyojichora mwenyewe

Mifano ya picha zake hariri


 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carl Larsson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.