Carleton Gajdusek (amezaliwa 9 Septemba 1923) alikuwa daktari kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine hasa alichunguza maradhi za neva. Mwaka wa 1976, pamoja na Baruch Blumberg alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Carleton Gajdusek

Mwaka wa 1966, Carleton Gajdusek alipatikana na hatia ya udhahilishaji wa watoto na akafungwa miezi 12 gerezani kabla ya kuhama kuenda Ulaya, alipokufa miaka kumi baadaye.

Maandishi yake yamehifadhiwa katika Maktaba ya Udaktari ya Taifa ya Marekani, mji wa Bethseda, Maryland.

Wasifu hariri

Maisha ya awali hariri

Baba yake Gajdusek, Karol Gajdusek, alitoka Smrdáky, Ufalme wa Hungaria ambayo sasa inapatikana Slovakia. Karol alikuwa Mslovakia na alifanya kazi ya uchinjaji. Wazazi wa mama yake, waliokuwa Wahungaria na Wakalvini, walihama kutoka Debrecen, Hungaria. Gajdusek alizaliwa Yonkers, New York, na akahitimu kutoka Chuo Kikuu cha Rochester mwaka wa 1943 aliposoma fizikia, biolojia, kemia na hisabati.


  Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Marekanibado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Carleton Gajdusek kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.