Cayos Siete Hermanos

Cayos Siete Hermanos ni funguvisiwa la bahari ya Karibi karibu na Hispaniola. Ni sehemu ya Jamhuri ya Dominikana.

Visiwa vyote ni 7 na ndiyo maana ya jina "Ndugu Saba".

Tanbihi hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cayos Siete Hermanos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.