Centenaria, Algeria

Centenaria ni mji wa kale ulioundwa kipindi cha Dola la Roma. Unajulikana kwa magofu yake karibu na El Hamel, Algeria.

Ramani ya Dola la Roma.

Jina Centenaria limepatikana kutokana mfumo wake wa ngome ya mashamba, katika miaka ya 2000 ambayo yalijengwa pembezoni mwa Limes Africanus, kaskazini mwa Afrika. Wengi walifanikiwa na wakazi walikuwa wengi.

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Centenaria, Algeria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.