Charles John Mwijage

Charles John Mwijage ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Muleba Kaskazini kwa miaka 20152020. [1]

Charles Mwijage

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017