Chibeze Ezekiel

mwanaharakati wa mazingira kutoka Ghana

Chibeze Ezekiel (amezaliwa 1979) ni mwanaharakati wa mazingira kutoka Ghana na mpokeaji wa Tuzo ya Mazingira ya Goldman ya 2020 kwa Afrika.[1][2][3]

Chibeze Ezekiel
Chibeze Ezekiel na tuzo ya Goldman 2020
Chibeze Ezekiel na tuzo ya Goldman 2020
Alizaliwa 1979
Nchi Ghana
Kazi yake Mwanaharakati

Anajulikana kuwa alitoa changamoto kwa Wizara ya Mazingira ya Ghana kufuta ujenzi wa mtambo wa makaa ya mawe kupitia uanaharakati.[4]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chibeze Ezekiel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.