Chika Hirao (alizaliwa 31 Desemba 1996) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Japani ambae anacheza kama golikipa wa timu ya taifa ya Wanawake ya Japan pamoja na klabu ya Albirex Niigata inayoshiriki ligi ya WE League.[1][2]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chika Hirao kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.