Children and Youth Voice Coalition

Children and Youth Voice Coalition (kifupi: CYVC) ni asasi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa kwa malengo ya kufanya kazi na Vijana pamoja na watoto.

Vijana wa CYVC katika moja ya semina za Mafunzo mkoani Kilimanjaro

Shirika hili lina makao yake makuu katika mkoa wa Arusha, likiwa linafanya kazi katika mikoa mbalimbali ikiwemo Kilimanjaro na Tanga

Maono hariri

Kukuza na kutangaza haki za watoto, pamoja na kuongeza ujuzi wa kimtaala kwa vijana ili kufikia Malengo endelevu.

Tanbihi hariri