Chrisant Majiyatanga Mzindakaya

Chrisant Majiyatanga Mzindakaya alikuwa kwa muda mrefu mbunge katika bunge la kitaifa nchini Tanzania[1] kwa kutokea katika chama cha CCM. Aliwahi pia kuwa mkuu wa mkoa na waziri. Alifariki mnamo Juni 7 2021.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Chrisant Majiyatanga Mzindakaya". 21 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-17. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.