Christiaan Eijkman

Christiaan Eijkman (11 Agosti 18585 Novemba 1930) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uholanzi. Hasa alichunguza ugonjwa wa beriberi na sababu zake. Mwaka wa 1929, pamoja na Frederick Hopkins alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Christiaan Eijkman
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christiaan Eijkman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.