Christian Gombe (alizaliwa tarehe 22 Februari 1962) ni raia wa Afrika ya Kati na alikuwa mchezaji wa mpira wa kikapu katika kikosi kilicho shiriki Olimpiki mwaka 1988 na timu ya taifa ya mpira wa kikapu ya Jamhuri ya Afrika ya kati.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christian Gombe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.