Christina Aguilera


Christina Maria Aguilera (anafahamika zaidi kama Christina Aguilera; alizaliwa 18 Desemba 1980) ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo za pop dansi kutoka Marekani.

Christina Aguilera
Christina Aguilera, mnamo 2022
Christina Aguilera, mnamo 2022
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Christina Maria Aguilera
Amezaliwa 18 Desemba 1980 (1980-12-18) (umri 43)
Asili yake New York, Marekani
Ala Sauti, synthesizer dansi, electronic
Aina ya sauti Contralto
Miaka ya kazi 1999–hadi leo
Studio RCA Records (1999-hadi leo)
Tovuti www.christinaaguilera.com

Ameshinda mara 5 tuzo za Grammy .

Muziki hariri

Albamu' hariri

  • 1999: Christina Aguilera
  • 2002: Stripped
  • 2006: Back To Basics
  • 2010: Bionic
  • 2018: Liberation
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christina Aguilera kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.