Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu mkuu Mihayo Tabora

Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Mkuu Mihayo cha Tabora (AMUCTA) ni tawi la Chuo Kikuu cha Mt. Augustino cha Tanzania lililopo katika mkoa wa Tabora, nchini Tanzania.[1]

Marejeo hariri

  1. "Wayback Machine". web.archive.org. 2015-09-24. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-09-24. Iliwekwa mnamo 2021-06-19. 
  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu mkuu Mihayo Tabora kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.