Chuo Kikuu cha Bordeaux I


Chuo Kikuu cha Bordeaux I (Université Bordeaux I Bordeaux I) ni chuo maarufu nchini Ufaransa kilichopo kwenye mji wa Bordeaux[1]. Bordeaux I ina idara 10. Mkazo wake ni utafiti wa sayansi na teknolojia[2].

Chuo Kikuu cha Bordeaux I

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons