Cleveland Cavaliers

Timu ya mpira wa kikapu ya Marekani

Cleveland Cavaliers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Cleveland, Ohio. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na LeBron James, Kyrie Irving.

Viungo vya Nje hariri


  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Cleveland Cavaliers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.