Craig Biachi (amezaliwa 25 Machi 1978 katika mji wa Cape Town, Western Cape) ni mwanasoka wa Afrika Kusini anaecheza nafasi ya beki. Craig alichezea klabu ya Hellenic. Alichezea mechi 7 katika timu ya taifa ya kandanda ya Afrika Kusini. Bianchi anatokea Elsie's River kwenye Cape Flat. Alianza kucheza mpira wa miguu kwa mara ya kwanza akiwa na umri wa miaka 16 mnamo mwaka 1994.

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Craig Bianchi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.