Cuernavaca, Morelos

Cuernavaca (kwa Kinahuatl: Cuauhnāhuac [kʷawˈnaːwak]) ni mji mkuu na mji mkubwa katika jimbo la Morelos. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 332,197 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 151.2 km². Mji upo m 1,548 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Sehemu ya Mji wa Cuernavaca, Morelos



Jiji la Cuernavaca
Nchi Mexiko
Jimbo Morelos
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 332,197
Tovuti:  / www.cuernavaca.gob.mx

Jina la Cuernavaca ni ya Kinahuatl, maana yake ni mahala karibu na miti.


Cuernavaca katika Morelos
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cuernavaca, Morelos kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.