Cynthia Shilwatso

Mchezaji wa mpira wa miguu Kenya

Cynthia Shilwatso , amezaliwa 23 Julai 1999[1][2], ni mchezaji maarufu wa mpira wa miguu Kenya. Anacheza kama kiungo mshambuliaji wa kati wa klabu ya uhispania EdF Longrono B na katika timu ya taifa ya wanawake Kenya , Pia ameonekana idara ya kwanza katika timu ya EdF Longrono.

Marejeo hariri

  1. http://admin.cafonline.com/en-us/competitions/11theditionwomenafcon-ghana2018/TeamDetails/playerdetails?CompetitionPlayerId=vgBTcFtR7FB4ixHt6pj6LAPlx%2f1ZlH4dCcr4muw1syW3qodGA%2fb%2bZBHInOZtcUyP
  2. https://lta-agency.com/player/cynthia-shilwatso/
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Cynthia Shilwatso kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.