Daftari la Kimataifa la Usafirishaji Tanzania

Daftari la Kimataifa la Usafirishaji Tanzania (TZIRS) ndio chombo kilichoteuliwa na serikali ya Tanzania kusajili meli chini ya bendera ya Tanzania. [1]

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-18.