Dagoretti ni eneo lililoko magharibi mwa Nairobi, mji mkuu wa Kenya.

Kata hariri

Kata Idadi ya Watu
Kawangware 86,824
Kenyatta 30,253
Mutuini 14,521
Riruta 65,958
Uthiru / Ruthimitu 23,016
Waithaka 19,937
Jumla 240,081
sensa ya mwaka wa 1999

Usafiri hariri

Kituo cha reli cha Dagoretti kiko kwenye mstari wa mfumo wa reli ya kitaifa.

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

01°18′00″S 36°46′00″E / 1.30000°S 36.76667°E / -1.30000; 36.76667