Daniel Wass (alizaliwa 31 Mei 1989) ni mchezaji wa soka wa Denmark ambaye anacheza kama mchezaji wa kudumu katika klabu iliyopo Hispania iitwayo Valencia. Anaweza kucheza kama winga wa kushoto, kiungo mkabaji na hata kiungo mshambuliaji.

Daniel Wass
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Wass kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.