Daniella Nicole Pineda (alizaliwa Oakland, California [1], 20 Februari 1987) ni mwigizaji, mwandishi, na mchekeshaji wa Marekani.

Daniella Pineda

Pineda 2016
Amezaliwa 20 Februari 1987
Oakland, California
Kazi yake mwigizaji, mwandishi, na mchekeshaji wa Marekani

Anajulikana kwa jukumu lake kama Zia Rodriguez kwenye Jurassic World: Fallen Kingdom. [2] Pia aliigiza kama Sophie kwenye kipindi cha televisheni cha The Originals.

Marejeo hariri

  1. Sauers, Jenna (26 October 2012). "You Need To Be Watching This Woman’s Videos". Jezebel. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-16. Iliwekwa mnamo 27 November 2012. Pineda, 24...  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. Kroll, Justin (23 January 2017). "'Jurassic World': 'The Detour' Actress Daniella Pineda Lands Key Role in Sequel (Exclusive)". Variety. Iliwekwa mnamo 26 January 2017.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniella Pineda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.