David Byrne ni mwanamuziki wa Marekani. Alizaliwa 14 Mei 1952 huko Uskoti. Anajulikana hasa kama mwanzishaji wa Talking Heads akipiga muziki wa Rock.

David Byrne
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Byrne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.