David Homeli Mwakyusa

David Homeli Mwakyusa (amezaliwa tar. 9 Mei 1942) ni mbunge wa jimbo la Rungwe Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu David Homeli Mwakyusa". 18 Februari 2008. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-19. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.